Kimarka

Kimarka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Mali inayozungumzwa na Wamarka. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kimarka nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 200,000. Pia kuna wasemaji 25,000 nchini Mali. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarka iko katika kundi la Kimande.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search